Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga akimpongeza mmoja wa Wanafunzi walioshinda Shindano la Uchoraji

Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga akimpongeza  mmoja wa Wanafunzi walioshinda Shindano la  Uchoraji  lililofanyika wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Chakula Duniani Mkoani Singida  hivi karibuni..