Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akisisitiza ulazima wa vyama vya ushirika kuagiza mbolea

Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akisisitiza ulazima wa vyama vya ushirika kuagiza mbolea, wakati akifungua kikao kazi cha vyama vya ushirika kuhusu ununuzi wa mbolea kwa pamoja (BPS) kilichofanyika katika ukumbi wa Mpendejirani eneo la Vwawa Mkoani Songwe tarehe 21 Januari 2020.