Mkakati wa kudhibiti upotevu wa mazao wazinduliwa

Waziri wa Kilimo Mhe.Japhet Hasunga (kulia) akipokea kitabu cha  Mkakati wa kuthibiti upotevu wa mazao kutoka kwa Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan  (kushoto) hivi karibuni  mara baada ya uzinduzi uliofanyika katika viwanja vya Nyakabindi Mkoani Simiyu