BEI ELEKEZI ZA WAKULIMA KWA MBOLEA AINA YA DAP

Bei elekezi za jumla zimezingatia gharama za usafirishaji wa mbolea kwa njia ya Reli au Barabara. Bei hizi zitaanza kutumika Septemba 01, 2019 na zinaweza kubadilika kulingana na gharama halisi za uagizaji…

Read more

MKAKATI WA TAIFA WA USIMAMIZI WA MAZAO BAADA YA KUVUNA KWA LUGHA NYEPESI

Wizara ya Kilimo kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wakiwemo wataalam kutoka Serikalini, wasomi wa vyuo vikuu, jukwaa la Wadau wa usimamizi wa mazao baada ya kuvuna, asasi zisizokuwa za kiserikali na…

Read more

MKAKATI WA TAIFA WA USIMAMIZI WA MAZAO BAADA YA KUVUNA

Uzalishaji wa chakula nchini Tanzania, unatosheleza mahitaji ya taifa. Hata hivyo, baadhi ya mikoa huathirika kwa uhaba wa chakula kutokana na mifumo hafifu ya kuhifadhi mazao baada ya kuvuna, hali inayosababisha…

Read more

Postharvest Management Strategy Implementation Plan

The National Agriculture Policy (2013) acknowledges that, among the key challenges in the agriculture sector, is the high pre- and postharvest losses, which makes up to 30-40 percent of the total annual…

Read more

National Postharvest Management Strategy

The global food security challenge is straight forward: by 2050 the world must feed 9 billion people (Parfitt, Barthel, & Macnaughton, 2010). The demand for food will be 60 percent greater than it…

Read more

HOTUBA YA MHE. JAPHET HASUNGA (Mb) KATIKA KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA CHAKULA DUNIANI

Matokeo ya Tathmini ya Hali ya Chakula nchini yameonesha kuwa Uzalishaji na upatikanaji wa chakula nchini umeendelea kuimarika ukilinganishwa na mahitaji halisi. Uzalishaji wa mazao ya chakula kwa mwaka…

Read more

Plant Pests Diagnostics Training Workshop Plant Pests Diagnostics Training Workshop P

Plant Pests Diagnostics Training Workshop Plant Pests Diagnostics Training Workshop Plant Pests Diagnostics Training Workshop Plant Pests Diagnostics Training Workshop Plant Pests Diagnostics Training…

Read more

Integrated Agriculture Management Information System for Trade (ATMIS)

TradeMark East Africa engaged the Ministry of Agriculture on the idea transforming the manual based operations to electronic target -Plant Health Services        Douwnload here

Read more

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

UFAFANUZI KUHUSU MFUMO WA MAUZO YA KOROSHO GHAFI KATIKA MSIMU WA MWAKA 2019/2020 Katika musimu wa mwaka 2018/2019 serikali iliamua kununua korosho zote toka kwa wakulima kutokana na kuyumba au kushuka…

Read more

MKUTANO NA. 2 WA MAANDALIZI YA NANE NANE 2018 TAREHE 21/03/2018

Kamati ya maandalizi ya maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Nane Nane ilifanya mkutano wake wa pili tarehe 21/03/2018. Mkutano huo ulifanyikia katika Ukumbi wa Mikutano wa KM UDOM     Pakua hapa

Read more