Skip to main content
Acts / Regulations
Statistics
English

BEI ELEKEZI ZA WAKULIMA KWA MBOLEA AINA YA DAP

Bei elekezi za jumla zimezingatia gharama za usafirishaji wa mbolea kwa njia ya Reli au Barabara. Bei hizi zitaanza kutumika
Septemba 01, 2019 na zinaweza kubadilika kulingana na gharama halisi za uagizaji wa mbolea kutoka nje ya nchi.

Download File/s: