KATIBU MKUU KIONGOZI ATEMBELEA BANDA WIZARA YA KILIMO
Katibu Mkuu Kiongozi, Mhe. Balozi Dkt. Moses M. Kusiluka ametembelea Banda la Wizara ya Kilimo katika Maonesho ya 48 ya Bishara ya Kimataifa ya Dar es Salaam leo Julai 04, 2024, ambapo amepata fursa ya kupata taarifa mbalimbali za fursa za uwekezaji na biashara katika Sekta ya Kilimo.