RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE.DKT. SAMIA SULUHU HASSAN
Rais wa Jamhuuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua moja ya matrekta ayiliyoyakabidhi siku ya kilelele cha Maonesho ya Kilimo ya Kimataifa ya Nanenane tarehe 8 Agosti 2024.