Skip to main content
Taarifa
Swahili

TAARIFA KWA VIONGOZI NA WATENDAJI WA VYAMA VYA USHIRIKA WA AKIBA NA MIKOPO (SACCOS)

Wizara ya Kilimo inawatangazia WanaSACCOS wote hasa Bodi na Watendaji wa SACCOS nchini kuwa, matakwa ya Sheria ya Huduma Ndogo za Fedha ya Mwaka 2018 (The Microfinance Act 2018), kuhusu ukaguzi wa nje ni kwamba:

SACCOS zote zinatakiwa kuhakikisha kuwa Taarifa za Fedha za Mwaka 2019 ziwezimekaguliwa na kuwasilishwa Benki Kuu au kwa Mamlaka iliyokasimiwa ambayo ni Mrajis wa Vyama Vya Ushirika ifikapo tarehe 30 Aprili, 2020.

Pakua Faili: