TAARIFA YA MAONESHO YA KILIMO NA SHEREHE ZA WAKULIMA (NANE NANE) 2017
Maonesho ya 27 ya Kilimo na Sherehe za Wakulima zilifanyika Kitaifa na ngazi ya Kanda kuanzia tarehe 01/08 hadi 08/08/2017.
Kitaifa sherehe hizo zilifanyika katika viwanja vya Ngongo nje kidogo ya Manispaa ya Lindi. Katika ngazi ya Kanda Maonesho na Sherehe zilifanyika katika viwanja vya Nzuguni – Dodoma (Kanda ya Kati),
Themi – Arusha (Kanda ya Kaskazini), J. K. Nyerere – Morogoro (Kanda ya Mashariki), John Mwakangale – Mbeya (Kanda ya Nyanda za Juu Kusini), Nyamhongolo – Mwanza (Kanda ya Ziwa) na Fatuma Mwasi – Tabora (Kanda ya Magharibi).
Taarifa zaidi pakua hapa