Skip to main content
Machapisho
Taarifa
Swahili

TAARIFA YA WIKI YA MWENENDO WA BEI ZA MAZAO YA CHAKULA 05 – 09 OKTOBA 2020

Wastani wa bei za mazao makuu ya chakula kitaifa zimeongezeka na kupungua kwa viwango tofauti ambapo bei za mahindi zimeongezeka kwa asilimia 3, maharage na mtama asilimia 1, wakati bei za viazi mviringozimepungua kwa asilimia 4 na asilimia 1 kwabei ya mchele. 

Mahindi: Bei zimeonekana kuwa za juu zaidi katika soko la Mwanza, Babati na Tanga. Bei za chini zimeonekana katika soko la Songea na Sumbawanga. 

Pakua Faili: