TAARIFA YA WIKI YA MWENENDO WA BEI ZA MAZAO YA CHAKULA 14 - 18 SEPTEMBA 2020
Wastani wa bei za mazao makuu ya chakula kitaifa zimepungua kwa viwango tofauti ambapo bei za Mtama zimepungua kwa asilimia 5, bei za Mchele asilimia 3, viazi mviringo kwa asilimia 2 na mahindi kwa asilimia1. Hakukuwa na madiliko makubwa ya bei kwa zao la maharage.
download