Habari

Tume ya Umwagiliaji imetakiwa kujikita katika miradi michache itakayo kamilika

Na Bashiri Salum Morogoro Tume ya Umwagiliaji nchini imetakiwa kujikita  katika miradi michache itakayo kamilika na kuleta tija kwa wakulima  kuliko kuwa na miradi mingi isiyokamilika. Katika kipindi cha miaka …

Soma zaidi

SERIKALI HAINA MPANGO WA KUONGEZA MUDA WA ZIADA KWA WAKANDARASI - KUSAYA

Na Bashiri Salum Morogoro Serikali imesema haina mpango kwa sasa wa  kuwaongezea muda makandarasi wa miradi ya umwagiliji na ujenzi wa maghala unaofanyika katika mkoa wa Morogoro chini ya maradi wa kuongeza uwezo wa…

Soma zaidi

KUSAYA AAGIZA WAKALA WA MBEGU ZA KILIMO ASA KUSOGEZA HUDUMA KWA WAKULIMA

Na Bashiri Salum Morogoro. Wakala wa Mbegu za Kilimo ASA  wametakiwa kuanzisha maduka ya mbegu katika maeneo  walipo wakulima ili kuwapunguzia gharama ya kuzifuta Morogoro mjini. Akizungumza na watumishi leo  alipotembelea…

Soma zaidi

WATUMISHI WIZARA YA KILIMO CHAPENI KAZI KWA WELEDI-KM KUSAYA

Menejimenti ya Wizara ya Kilimo imetakiwa kufanya kazi kwa bidii na kuzingatia weledi katika kutekeleza maagizo ya Rais kuhakikisha nchi inaendelea kuwa na uhakika wa chakula. Kauli hiyo imetolewa leo (24.03.2020) na Katibu…

Soma zaidi

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUSITISHWA KWA KONGAMANO LA VIJANA KATIKA KILIMO

Dar es Salaam, 16 Machi, 2020   Waziri wa Kilimo Mheshimiwa Japhet N. Hasunga (Mb) amesitisha kongamano la vijana katika kilimo lililokuwa limepangwa kufanyika Jumanne tarehe 17 Machi 2020 katika ukumbi wa Nkrumah uliopo…

Soma zaidi

KATIBU MKUU WA WIZARA YA KILIMO MHE. GERALD MUSABILA KUSAYA AKIAPISHWA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Joseph Pombe Magufuli akimuapisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Mhe. Gerald Musabila Kusaya mara baada ya kumteua kushika nyadhifa hiyo. Hafla hiyo ilifanyika  IKULU…

Soma zaidi

KATIBU MKUU MHE. KUSAYA AKUTANA NA MENEJIMENTI YA WIZARA YA KILIMO

Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo  Mhe. Gerald  Musabila Kusaya leo tarehe 9/03/2020 amekutana na Menejimenti ya Wizara ya Kilimo katika Ukumbi wa mikutano wa Wizara uliopo Mtumba ili kuweza kufahamiana na kujua majukumu…

Soma zaidi