Habari

BODI YA MKONGE YATEKELEZA AGIZO LA WAZIRI MKUU

Tanga Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Gerald Kusaya ameipongeza Menejimenti ya Bodi ya Mkonge na watumishi kwa kutekeleza agizo la Waziri Mkuu la kuhamia katika ofisi iliyotwaliwa na serikali hivi karibuni kutoka kwa wamiliki…

Soma zaidi

WATUMISHI SEKTA YA KILIMO FANYENI KAZI KWA KUJIAMINI-KM KUSAYA

Muheza Watumishi wa Sekta ya Kilimo nchini wametakiwa kufanya kazi kwa kujiamini na weledi ili kuongeza tija katika kuhudumia wakulima na  hivyo kufanya Sekta ya Kilimo iwe na mchango mkubwa katika uchumi wa nchi. Kauli…

Soma zaidi

KUSAYA : VIJANA JIFUNZENI KILIMO BIASHARA

Vijana wahitimu wa vyuo mbalimbali nchini wameshauriwa kujitokeza na kupata mafunzo kwa vitendo kuhusu kilimo biashara kwa ajili ya kujipatia ujuzi na ajira toka Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine. Wito huo umetolewa jana na Katibu…

Soma zaidi

WIZARA YA KILIMO KUSHIRIKIANA NA SUA KUZALISHA MBEGU BORA ZA MAZAO

Morogoro Wizara ya Kilimo imekubaliana na Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine kuanza kuzalisha mbegu bora za mazao ya kilimo ili kujitosheleza na mahitaji ya wakulima nchini. Makubaliano hayo yamebainishwa leo (24.04.2020) na Katibu…

Soma zaidi

WAFANYABIASHARA WANAOPANDISHA BEI YA SUKARI KIHOLELA HATUTAWAVUMILIA- HASUNGA

SERIKALI imeweka wazi bei ya  sukari nchini ambapo bei ya rejareja haitazidi Sh 2600 kwa mikoa ya karibu kama Dar es Salaam na Sh 3200 kwa mikoa ya mbali kama Katavi. Hayo yamebainishwa na Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga…

Soma zaidi

WAZIRI HASUNGA ATEMBELEA KIWANDA CHA MBOLEA MINJINGU

Waziri wa kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) tarehe 18 Aprili 2020 ametembelea kiwanda cha mbolea cha Minjingu (Minjingu Mines and Fertilizer Ltd) kilichopo katika eneo na Kata ya Minjingu Mkoani Manyara ambapo pamoja na mambo…

Soma zaidi

KATIBU MKUU KILIMO AIAGIZA BODI NA MENEJIMENTI YA MAMLAKA YA UDHIBITI WA MBOLEA (TFRA) KUJA NA MKAKA

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Bwana Gerald Musabila Kusaya, ameiagiza Bodi na Menejiment ya Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea, kuandaa mkakati wa uanzishwaji wa viwanda vipya mbolea ili kuongeza uzalishaji wa pembejeo hiyo hapa…

Soma zaidi