Habari

VYUO VYA KILIMO NCHINI VYATAKIWA KUJIIMARISHA KIMAPATO

Vyuo vya Mafunzo ya Kilimo ( MATI) vimeagizwa kuhakikisha vinatumia wataalam wakufunzi na rasilimali ardhi kuzalisha mazao mengi bora ili kuwa na uhakika wa kipato na kujiendesha kibiashara. Agizo hilo limetolewa leo Jumanne…

Soma zaidi

KUSAYA: AGIZO LA WAZIRI MKUU KUHUSU MBEGU BORA ZA MICHIKICHI LATEKELEZWA KIGOMA

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo amewapongeza watafiti wa mbegu za michikichi kwa kuongeza uzalishaji wa mbegu bora na kuwataka  watumie muda mfupi zaidi wa kuzalisha na kuzisambaza kwa wakulima nchini Agizo hilo limetolewa…

Soma zaidi

TATHMINI YA UNUNUZI WA PAMBA KUFANYIKA KABLA MSIMU

Serikali imesema inafanya tathmini ya hali ya ununuzi wa zao la pamba msimu wa mwaka 2019 ili kuondoa changamoto zilizojitokeza kabla msimu mpya wa ununuzi kuanza mwaka huu. Akizungumza na viongozi wa wilaya ya Chato mara…

Soma zaidi

“SIJARIDHISHWA NA UTENDAJI KAZI WA CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA GEITA”-KM KUSAYA

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo ametembelea Chama Kikuu cha Mkoa wa Geita (Geita Cooperative Union-GCU) kilichopo Kasamwa wilaya ya Geita  na kutoridhishwa na hali ya kiwanda cha kuchambua pamba kushindwa kufanya kazi muda…

Soma zaidi

TARI UKIRIGURU YAGUNDUA AINA 10 ZA MBEGU BORA ZA PAMBA

Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) kupitia kituo cha Ukiriguru mkoani Mwanza imefanikiwa kugundua aina kumi za mbegu bora za zao la pamba kwa ajili ya kusambazwa kwa wakulima nchini. Hayo yamebainishwa leo (30.04.2020)…

Soma zaidi

CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA NYANZA CHATAKIWA KUJITEGEMEA KIMAPATO-KUSAYA

Mwanza. Wizara ya Kilimo imekiagiza Chama Kikuu cha Ushirika mkoani Mwanza (Nyanza) kubuni njia muafaka za kujitegemea kiundeshaji kwa kutumia rasilimali nyingi ilizonazo. Agizo hilo limetolewa leo(30.04.2020) Jijini Mwanza…

Soma zaidi

SIMIYU INA FURSA YA KUZALISHA MAZAO MENGI YA BIASHARA

Wizara ya Kilimo imewataka wananchi wa Mkoa wa Simiyu kuongeza uzalishaji wa zao la pamba sambamba na mazao mengine ya biashara ili kuwa na uhakika wa mapato. Kauli hii imetolewa leo mjini Bariadi na Katibu Mkuu wa Wizara…

Soma zaidi

NFRA WATAKIWA KUONGEZA WIGO WA MAPATO-KUSAYA

Shinyanga Wizara ya Kilimo imeiagiza Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) kubuni njia muafaka ya kuongeza mapato kwa  kuhifadhi nafaka zaidi na kufanya biashara ya mazao ya kilimo. Agizo hilo limetolewa leo …

Soma zaidi