BODI ZA MAZAO KUUNGANISHWA ILI KUUNDA MAMLAKA TATU ZA MAZAO YA KIMKAKATI - WAZIRI HASUNGA

Serikali imedhamiria kuziunganisha Bodi sita za mazao zilizopo chini ya Wizara ya Kilimo na kuwa na Bodi tatu ili kuongeza ufanisi wa kiutendaji   Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga ameyasema hayo jana (tarehe 13 Disemba…

Soma zaidi
Katibu Mkuu Kilimo, Eng. Mathew Mtigumwe

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UZINDUZI WA MKAKATI WA KUENDELEZA ZAO LA MPUNGA AWAMU YA PILI:2019-2030

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Mhandisi Mathew J. Mtigumwe anawatangazia wananchi na wadau wa kilimo nchini kuhusu kufanyika kwa uzinduzi wa Mkakati wa Kuendeleza Zao la Mpunga Awamu ya Pili (National Rice Development Strategy…

Soma zaidi

Minada Sita ya Korosho Yaingiza Zaidi ya Shilingi Bilioni 406.3

Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Mtwara   Zao la korosho katika msimu wa kilimo mwaka 2019/2020 limeingiza zaidi Shilingi Bilioni 406.3 kupitia minada sita ambayo imekwishafanyika kwa nyakati tofauti nchini.  …

Soma zaidi

TAARIFA KWA VIONGOZI NA WATENDAJI WA VYAMA VYA USHIRIKA WA AKIBA NA MIKOPO (SACCOS)

Wizara ya Kilimo inawatangazia WanaSACCOS wote hasa Bodi na Watendaji wa SACCOS nchini kuwa, matakwa ya Sheria ya Huduma Ndogo za Fedha ya Mwaka 2018 (The Microfinance Act 2018), kuhusu ukaguzi wa nje ni kwamba: SACCOS zote…

Soma zaidi

WAKANDARASI WANAOJENGA MIUNDOMBINU YA SKIMU ZA UMWAGILIAJI MOROGORO WAONYWA –ENG.MTIGUMWE

Na. Issa Sabuni-Wizara ya Kilimo, Dodoma Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Mhandisi Mathew Mtigumwe ameonya wakandarasi watatu waliopewa kazi ya kujenga miundombinu ya skimu za umwagiliaji katika mradi wa kuongeza tija na uzalishaji…

Soma zaidi

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU WAKULIMA KUTUMIA MVUA ZA MSIMU ZILIZOANZA KUNYESHA NA ZA VULI KUPANDA MAZAO

Waziri wa Kilimo Mheshimiwa Japhet Hasunga (Mb) anapenda kuwafahamisha wananchi wote hasa wakulima kutumia mvua za vuli zilizoanza kunyesha katika mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza, Mara, Simiyu, Arusha, Kilimanjaro, Tanga,…

Soma zaidi

Tumieni ongezeko la uzalishaji wa mpunga kwenye mradi wa TANRICE kama chachu – Mhandisi Mtigumwe

Tumieni ongezeko la uzalishaji wa mpunga kwenye mradi wa TANRICE kama chachu – Mhandisi Mtigumwe Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Mhandisi Mathew Mtigumwe amewaasa Wataalam wa Sekta ya Kilimo kuongeza uzalishaji na tija…

Soma zaidi

Waziri Hasunga akabidhi taarifa ya ubadhilifu kwenye Vyama vya Ushirika kwa TAKUKURU

Waziri Hasunga akabidhi taarifa ya ubadhilifu kwenye Vyama vya Ushirika kwa TAKUKURU Waziri wa Kilimo Mhe. Japhet Hasunga (Mb) leo amekabdihi ripoti ya ukaguzi wa Vyama vya Ushirika yam waka 2018/2019 kwa Kamishina Mkuu wa…

Soma zaidi