TIJA KWENYE KILIMO NDIO KIPAUMBELE- PROF. MKENDA

TIJA KWENYE KILIMO NDIO KIPAUMBELE - PROF. MKENDA Waziri wa Kilimo Prof Adolf Mkenda amesema kipaumbele chake ni kuona wakulima wanaongeza tija kwenye uzalishaji wa mazo nchini kwa kutumia eneo dogo kuzalisha mazo mengi zaidi…

Soma zaidi

JUHUDI ZAIDI ZINAHITAJI KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA UTAPIAMLO – DKT. KESSY MKURUGENZI IDARA YA USALAMA

JUHUDI ZAIDI ZINAHITAJI KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA UTAPIAMLO – DKT. KESSY MKURUGENZI IDARA YA USALAMA WA CHAKULA Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Chakula Wizara ya Kilimo Dkt. Honest Kessy amesema Serikali imefanya…

Soma zaidi

WAZIRI WA KILIMO PROF. ADOLF MKENDA APOKELEWA RASMI WIZARANI NA KUSEMA ATAANZA NA ZAO LA NGANO KAMA

WAZIRI WA KILIMO PROF. ADOLF MKENDA APOKELEWA RASMI WIZARANI NA KUSEMA ATAANZA NA ZAO LA NGANO KAMA AJENDA YA KITAIFA Waziri wa Kilimo Mhe. Prof. Adolf Mkenda leo mchana tarehe 21 Desemba, 2020 amepokelewa rasmi Wizara ya…

Soma zaidi

WAZIRI WA KILIMO PROF. MKENDA AIPONGEZA TARI KWA KUTEKELEZA AGIZO LA WAZIRI MKUU KUHUSU UZALISHAJI W

WAZIRI WA KILIMO PROF. MKENDA AIPONGEZA TARI KWA KUTEKELEZA AGIZO LA WAZIRI MKUU KUHUSU UZALISHAJI WA MICHE YA MICHIKICHI Waziri wa Kilimo Mhe. Prof. Adolf Mkenda ameipongeza Taasisi ya Utafiti wa Mazao ya Kilimo (TARI) kwa…

Soma zaidi

TUMEZALISHA MBEGU BORA MILIONI 4 ZA MICHIKICHI ILI KUOKOA FEDHA ZA SERIKALI ZAIDI YA BILIONI 443 – K

TUMEZALISHA MBEGU BORA MILIONI 4 ZA MICHIKICHI ILI KUOKOA FEDHA ZA SERIKALI ZAIDI YA BILIONI 443 – KATIBU MKUU KUSAYA  Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bwana Gerald Kusaya amesema Wizara ya Kilimo kupitia Taasisi ya…

Soma zaidi

KUSAYA: SIJARIDHISHWA NA KAZI YA MKANDARASI CHUO CHA KILIMO MUBONDO

KUSAYA: SIJARIDHISHWA NA KAZI YA MKANDARASI CHUO CHA KILIMO MUBONDO Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Gerald Kusaya amesema atachukua hatua kali dhidi ya mkandarasi Bogeta Engineering Co. Ltd kutokana na kutekeleza mradi wa ujenzi…

Soma zaidi

WAZIRI MKUU MAJALIWA AWAHAKIKISHIA WADAU WA SEKTA YA MAZAO YA BUSTANI KUWA SERIKALI ITAENDELEA KUJEN

WAZIRI MKUU MAJALIWA AWAHAKIKISHIA WADAU WA SEKTA YA MAZAO YA BUSTANI KUWA SERIKALI ITAENDELEA KUJENGA MAZINGIRA MAZURI YA KUFANYA BIASHARA Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb)…

Soma zaidi

KATIBU MKUU KUSAYA AANZA KUTEKELEZA AGIZO LA RAIS MAGUFULI KUHUSU BIASHARA YA MAZAO YA KILIMO NJE YA

KATIBU MKUU KUSAYA AANZA KUTEKELEZA AGIZO LA RAIS MAGUFULI KUHUSU BIASHARA YA MAZAO YA KILIMO NJE YA NCHI Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bwana Gerald Kusaya leo mchana tarehe 27 Novemba, 2020 ameanza kutekeleza agizo la Rais,…

Soma zaidi