MAABARA YA KIWANDA CHA PARETO TANZANIA KUCHUNGUZWA-KUSAYA

Serikali imetoa maelekezo kwa kiwanda cha Pareto Tanzania kuhakikisha kinaweka mazingira ya uwazi katika kupima kiwango cha sumu kwenye maua ili wakulima wapate bei nzuri ili kulinda maslahi ya wakulima nchini. Kauli hii…

Soma zaidi

KATIBU MKUU KILIMO APONGEZA TAASISI ZA UZALISHAJI MBEGU NCHINI

Wizara ya Kilimo imezitaka taasisi na wakala zinazohusika na kazi ya uzalishaji mbegu bora za mazao kuongeza uzalishaji ili kukidhi mahitaji makubwa ya wakulima nchini. Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Gerald Kusaya ametoa agizo…

Soma zaidi

KUSAYA AIPONGEZA CPB KWA KUPATA SOKO LA UNGA SUDAN KUSINI

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw.Gerald Kusaya ametoa pongezi kwa Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko ( CPB) kwa kazi nzuri ya kuzalisha unga bora wa mahindi unaokidhi viwango vya kimataifa. Kusaya ametoa pongezi hizo leo…

Soma zaidi

KATIBU MKUU KUSAYA AWAASA WAKUU WA VYUO VYA MAFUNZO YA KILIMO KUHUISHA MITAALA IENDANE NA UCHUMI WA

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Bwana Gerald Kusaya amewaasa Wakuu wa Vyuo vya Mafunzo ya Kilimo kutoka Vyuo vya Mafunzo vya Serikali na Binafsi kuwa; Wanawajibu wa kuhuisha mitaala ya mafunzo ili iendane na mahitaji ya nchi…

Soma zaidi

VYUO VYA KILIMO VYATAKIWA KUJIENDESHA KIBIASHARA

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw. Gerald Kusaya amesema wigo mpana uliopo katika sekta ya kilimo kwenye utunzaji wa mazingira na uendelezaji wa viwanda utumike kupunguza utegemezi  wa ajira serikalini kwa wahitimu wa…

Soma zaidi

KUSAYA AWATAKA WAKANDARASI WA UJENZI WA MAGHALA KUMALIZA KWA WAKATI

 Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw.Gerald Kusaya ametembelea miradi  11 iliyopo chini ya  Mradi wa Kuendeleza zao la mpunga  ( ERPP ) mkoani Morogoro ikiwa ni ziara yake ya kikazi. Miradi hiyo ni pamoja…

Soma zaidi

UDHIBITI WA SUMUKUVU UNAHITAJI WADAU KUSHIRIKIANA-KM KUSAYA

WADAU wa usalama wa chakula nchini wametakiwa kuisaidia serikali kutekeleza mradi mkubwa wa miaka mitano wenye lengo la kudhibiti tatizo la sumu kuvu ili ili kuboresha afya ya jamii kwa kuhakikisha taifa linazalisha na kuuza…

Soma zaidi

SERIKALI YATENGA BILIONI 16 KUJENGA KITUO MAHIRI CHA USIMAMIZI WA MAZAO YA NAFAKA MTANANA KONGWA

Katibu Mkuu wa Kilimo Bw. Gerald Kusaya leo (19/06/2020) amesaini mkataba wa ujenzi wa kituo mahiri cha usimamizi wa mazao ya nafaka jijini Dodoma ambapo alisaini pamoja na  Kampuni ya M/S BJ AMULI ARCHITECT ambayo ilishinda…

Soma zaidi