KATIBU MKUU WA KILIMO BW.KUSAYA ASAINI RANDAMA YA MASHIRIKIANO BAINA YA WIZARA YA KILIMO NA SIDO

Katika kuhakikisha tatizo la sumukuvu linapungua hapa nchini, Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw. Gerald Kusaya  leo (18/06/2020) amesaini mkataba wa ujenzi wa vihenge baina ya Wizara ya Kilimo na  Shirika la kuhudumia…

Soma zaidi

RAIS MAGUFULI AMENITUMA NIWALETEE ZAWADI YA MIRADI MIWILI – KATIBU MKUU GERALD KUSAYA

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bwana Gerald Kusaya amewaambia Wananchi wa kijiji cha Mtanana B kwenye Halmashauri ya wilaya ya Kongwa kuwa ametumwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kuwaletea…

Soma zaidi

NAIBU WAZIRI BASHE AKUTANA NA WADAU WA SHAHIRI NA ZABIBU DODOMA

Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe leo (09/06/2020) amekutana na wadau wa zao la shahiri na zabibu kwa lengo la kutatua changamoto zilizopo katika sekta ndogo ya Zabibu na kukubaliana namna ya kutekeleza . Mkutano…

Soma zaidi

KATIBU MKUU KUSAYA HAJARIDHISHWA NA UJENZI WA VIHENGE SHINYANGA.

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Gerald Kusaya leo (08.06.2020) amefanya ziara ya kushtukiza kwenye eneo la ujenzi wa vihenge vya kisasa (silos) mjini Shinyanga na kuelezea kutoridhishwa na kasi ya ujenzi huo . " Mkandarasi sijaridhishwa…

Soma zaidi

SERIKALI HAITOPANGA BEI YA ZAO LA PAMBA MSIMU 2020 - HASUNGA

Serikali imesema  haitopanga bei ya zao la pamba ya wakulima katika msimu wa mwaka 2020 unaotarajia kuanza mwezi huu  ili kuwezesha soko kuamua na mkulima kupata soko la uhakika. Kauli hiyo ya serikali imetolewa…

Soma zaidi

WIZARA IHAKIKISHE KILIMO KINASIMAMIWA KIKAMILIFU-WAZIRI HASUNGA

Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga amewaagiza watendaji Wakuu wa wizara na taasisi zake kuhakikisha wanasimamia kikamilifu uzalishaji wa mazao na upatikanaji wa masoko ya uhakika Ametoa kauli hiyo leo (05 .06.20200 alipofanya…

Soma zaidi

VYUO VYA MAFUNZO YA KILIMO KUFUNGULIWA NA KUANZA KWA MASOMO

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw. Gerald M. Kusaya anawatangazia Wanafunzi WOTE waVyuo vya Mafunzo ya Kilimo (MATI) chini ya Wizara ya Kilimo kuwa vyuo vimefunguliwa rasmi siku ya Jumatatu, tarehe 01 Juni, 2020.Wanafunzi…

Soma zaidi

WIZARA YA KILIMO YAJA NA MKAKATI MPYA WA HORTICULTURE – BW.GERALD KUSAYA

Katibu Mkuuu wa Wizara ya Kilimo Bw.Gerald Kusaya ameitembelea Taasisi  inayojishughulisha na mazao ya bustani na vikolezo TAHA ( Tanzania Horticulture Association) iliyopo jijini Arusha baada ya kuvutiwa na utendaji…

Soma zaidi