Marufuku Madalali kuwagalaliza wakulima - Mhe.Hasunga

Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga (Mb) (tarehe 20 Disemba 2019)amepiga marufuku madalali wa mazao ya kilimo ambao wanatumia nafasi hiyo kuwagalaliza wakulima. Waziri Hasunga amepiga marufuku hiyo wakati akizungumza kwenye mnada…

Soma zaidi

HOTUBA YA WAZIRI WA KILIMO MH. JOSEPHAT HASSUNGA KUHUSU UZINDUZI WA MKAKATI WA KUENDELEZA ZAO MPUNGA

HOTUBA YA MGENI RASMI  WAZIRI WA KILIMO MH. JOSEPHAT HASSUNGA KUHUSU UZINDUZI WA MKAKATI WA KUENDELEZA ZAO LA MPUNGA AWAMU YA PILI NCHINI, TAREHE 16 DESEMBA, 2019 - KATIKA UKUMBI WA ST. GASPAR ULIOPO JIJINI DODOMA.  …

Soma zaidi

BODI ZA MAZAO KUUNGANISHWA ILI KUUNDA MAMLAKA TATU ZA MAZAO YA KIMKAKATI - WAZIRI HASUNGA

Serikali imedhamiria kuziunganisha Bodi sita za mazao zilizopo chini ya Wizara ya Kilimo na kuwa na Bodi tatu ili kuongeza ufanisi wa kiutendaji   Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga ameyasema hayo jana (tarehe 13 Disemba…

Soma zaidi
Katibu Mkuu Kilimo, Eng. Mathew Mtigumwe

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UZINDUZI WA MKAKATI WA KUENDELEZA ZAO LA MPUNGA AWAMU YA PILI:2019-2030

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Mhandisi Mathew J. Mtigumwe anawatangazia wananchi na wadau wa kilimo nchini kuhusu kufanyika kwa uzinduzi wa Mkakati wa Kuendeleza Zao la Mpunga Awamu ya Pili (National Rice Development Strategy…

Soma zaidi

Minada Sita ya Korosho Yaingiza Zaidi ya Shilingi Bilioni 406.3

Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Mtwara   Zao la korosho katika msimu wa kilimo mwaka 2019/2020 limeingiza zaidi Shilingi Bilioni 406.3 kupitia minada sita ambayo imekwishafanyika kwa nyakati tofauti nchini.  …

Soma zaidi

TAARIFA KWA VIONGOZI NA WATENDAJI WA VYAMA VYA USHIRIKA WA AKIBA NA MIKOPO (SACCOS)

Wizara ya Kilimo inawatangazia WanaSACCOS wote hasa Bodi na Watendaji wa SACCOS nchini kuwa, matakwa ya Sheria ya Huduma Ndogo za Fedha ya Mwaka 2018 (The Microfinance Act 2018), kuhusu ukaguzi wa nje ni kwamba: SACCOS zote…

Soma zaidi

WAKANDARASI WANAOJENGA MIUNDOMBINU YA SKIMU ZA UMWAGILIAJI MOROGORO WAONYWA –ENG.MTIGUMWE

Na. Issa Sabuni-Wizara ya Kilimo, Dodoma Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Mhandisi Mathew Mtigumwe ameonya wakandarasi watatu waliopewa kazi ya kujenga miundombinu ya skimu za umwagiliaji katika mradi wa kuongeza tija na uzalishaji…

Soma zaidi

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU WAKULIMA KUTUMIA MVUA ZA MSIMU ZILIZOANZA KUNYESHA NA ZA VULI KUPANDA MAZAO

Waziri wa Kilimo Mheshimiwa Japhet Hasunga (Mb) anapenda kuwafahamisha wananchi wote hasa wakulima kutumia mvua za vuli zilizoanza kunyesha katika mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza, Mara, Simiyu, Arusha, Kilimanjaro, Tanga,…

Soma zaidi