Habari na Matukio

MNADA WA CHAI NCHINI KUANZA MWAKA HUU – NAIBU WAZIRI BASHE

MNADA WA CHAI NCHINI KUANZA MWAKA HUU – NAIBU WAZIRI BASHE Naibu Waziri Kilimo Mhe. Hussein Bashe leo mchana tarehe 15 Aprili, 2021 amekutana na Wadau wa Sekta ndogo ya zao la chai kutoka Serikalini na Sekta binafsi…

Soma zaidi

MAKABIDHIANO YA OFISI

Aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo ambaye sasa ni Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Gerald Kusaya  jana (14.04.2021)  amekabidhi rasmi ofisi kwa Katibu Mkuu mpya wa Wizara…

Soma zaidi

WAZIRI MKENDA AMUOMBA BALOZI WA UHOLANZI WAWEKEZAJI ZAIDI KWENYE KILIMO

WAZIRI MKENDA AMUOMBA BALOZI WA UHOLANZI WAWEKEZAJI ZAIDI KWENYE KILIMO Waziri wa Kilimo Profesa Adolf Mkenda leo (Jana) tarehe 9 Aprili 2021 amekutana na Balozi wa Uholanzi nchi Jeroen Verheul na kumwambia Tanzania ina mazingira…

Soma zaidi

KATIBU MKUU KUSAYA ATOA VIFAA VYENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 242 KWA VYUO VYA MAFUNZO YA KILIMO

Katibu Mkuu Wizaa ya Kilimo Gerald Kusaya leo mchana tarehe 30 Machi, 2021 ametoa vifaa vya mafunzo kwa njia ya mtandao (E- Learning) kwa Vyuo vya Mafunzo ya Kilimo vya Serikali na Binafsi vyenye thamani ya shilingi milioni…

Soma zaidi

TAARIFA KWA UMMA: WAZIRI MKENDA AZINDUA MFUMO WA KIZIMBA KUVUTIA VIJANA KATIKA KILIMO

Morogoro 16.03.2021 Waziri wa Kilimo Prof. Adolf Mkenda amezitaka taasisi za fedha nchini kutoa mikopo yenye masharti nafuu ili kuwavutia vijana wengi kujikita katika kilimobiashara kupitia mfumo wa Kizimba ‘Business…

Soma zaidi

UMWAGILIAJI UTAONGEZA TIJA NA UZALISHAJI WA ZAO LA CHAI - PROF. MKENDA

Waziri wa Kilimo Profesa Adolf Mkenda amesema ili kukabiliana na kushuka kwa kiwango cha uzalishaji wa zao la chai nchini wizara yake itawekeza kwenye miundombinu ya umwagiliaji na uzalishaji wa miche bora ili zao la chai…

Soma zaidi

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Moshi,01.03.2021 Waziri wa Kilimo Profesa Adolf Mkenda (Mb) ametoa tathmini ya kazi ya kuwadhibiti nzige wa jangwani waliovamia nchi mwanzoni mwa mwezi Januari mwaka huu na kuwa hadi sasa wamedhibitiwa na wataalam wa Wizara…

Soma zaidi

NAIBU WAZIRI BASHE AELEZA NAMNA EURO MILIONI 100 ZIKAVYOGHARAMIA SEKTA YA KILIMO

NAIBU WAZIRI BASHE AELEZA NAMNA EURO MILIONI 100 ZIKAVYOGHARAMIA SEKTA YA KILIMO Naibu Waziri Kilimo Mhe. Hussein Bashe leo mchana tarehe 17 Februari, 2021 amesema msaada wa Euro milioni 100 kutoka (Umoja wa Ulaya –…

Soma zaidi