TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UTEUZI WA KATIBU MKUU WIZARA YA KILIMO
TAARIFA KWA UMMA 05/03/2020
Soma zaidiTAARIFA KWA UMMA 05/03/2020
Soma zaidiDodoma, 09 Februari, 2020 Waziri wa Kilimo Mhe.JaphetN.Hasunga (Mb) leo Jumapili anawafahamisha wakulima na wananchi kwa ujumla kuwa taarifa zinazoenea kwenye baadhi ya vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuhusu uwepo…
Soma zaidiDodoma, 29 Januari, 2020 Waziri wa Kilimo Mhe. Japhet Hasunga (Mb) anautaarifu umma na wananchi kuwa Serikali inaendelea kuchukua hatua madhubuti za kufuatiliaji viashiria vya uwepo wa Nzige wa Jangwani (Locust Desert) na…
Soma zaidi1.0 UTANGULIZI Chama cha Ushirika ni chama kinachoanzishwa kwa hiari ya watu wenye lengo la kutatua tatizo au shughuli ya kiuchumi na kijamii inayolenga katika kuwabadilisha wananchama kiuchumi au kimaisha. Ushirika…
Soma zaidiKatibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Mhandisi Mathew J. Mtigumwe anawatangazia wananchi na wadau wa kilimo nchini kuhusu kufanyika kwa uzinduzi wa Mkakati wa Kuendeleza Zao la Mpunga Awamu ya Pili (National Rice Development Strategy…
Soma zaidiWaziri wa Kilimo Mheshimiwa Japhet Hasunga (Mb) anapenda kuwafahamisha wananchi wote hasa wakulima kutumia mvua za vuli zilizoanza kunyesha katika mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza, Mara, Simiyu, Arusha, Kilimanjaro, Tanga,…
Soma zaidiDodoma, 17 Novemba, 2019 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli alitoa maelekezo ya kuwa katika msimu wa korosho wa mwaka 2018/2019 Serikali itanunua korosho zote za Wakulima ili kuwaondoa…
Soma zaidi