Taarifa kwa Vyombo vya Habari

TANGAZO KWA UMMA

TANGAZO KWA UMMA Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Mhandisi Mathew Mtigumwe anautangazia Umma kuwa, Wizara imeandaa Mkutano wa Wafanyabiashara wote wa mazao ya nafaka ndani na nje ya nchi. Walengwa wa mkutano huo ni: - Wasindikaji,…

Soma zaidi

Taarifa kwa Umma Kuhusu Kuwatumia Wahitimu wa Vyuo Vya Kilimo Waliosoma Kozi Maalum

WIZARA YA KILIMO MIFUGO NA UVUVI - TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUWATUMIA WAHITIMU WA VYUO VYA KILIMO WALIOSOMA KOZI MAALUM Wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi inautangazaia umma kuwa wahitimu mahiri 10,629 waliofuzu Vyuo vya…

Soma zaidi

Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari Kuhusu Utatuzi Wa Mgogoro Wa Wakulima Wa Miwa Kilombero

Bodi ya Sukari Tanzania imefuatilia na kubaini chanzo cha malalamiko ya wakulima wa miwa wanaozunguka Kiwanda cha Sukari cha Kilombelo (ILOVO). 

Soma zaidi
Bibi Sophia Kaduma kuwa Katibu Mkuu mpya wa Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika

Bibi Sophia Kaduma kuwa Katibu Mkuu mpya wa Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dr Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bib Sophia Kaduma kuwa Katibu Mkuu mpya wa Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika.

Soma zaidi