Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Gerald Kusaya (kulia) akifuatilia taarifa ya hali ya kilimo

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Gerald Kusaya (kulia) akifuatilia taarifa ya hali ya kilimo toka kwa Katibu Tawala Mkoa wa Songwe Dkt. Seif Shekalaghe (aliyesimama).Katibu Mkuu huyo ameanza ziara ya kikazi ya kukagua shughuli za kilimo mkoani Songwe.