FOMU YA KUOMBA KULIMA SHAMBA LA MKONGE

MASHARTI KWA MUOMBAJI:  Kwamba Muombaji atalipia ada ya maombi kiasi cha shilingi 20,000/= ambayo haitarejeshwa (non refundable).  Fedha za maombi zitalipwa kupitia Control namba itakayotolewa…

Soma zaidi

TANGAZO LA KUKARIBISHA MAOMBI YA MASHAMBA YA KULIMA MKONGE

Utangulizi Bodi ya Mkonge Tanzania (TSB) inawatangazia watanzania wote kuwa inatarajia kugawa mashamba kwa ajili ya kilimo cha mkonge kwa wakulima wadogo ili kuendeleza kilimo cha mkonge nchini. Mashamba…

Soma zaidi

TAARIFA YA WIKI YA MWENENDO WA BEI ZA MAZAO YA CHAKULA 16-20 Novemba, 2020

Ujumbe Mkuu  Wastani wa bei za mazao makuu ya chakula kitaifa zimeongezeka kwa viwango tofauti ambapo bei za mtama na maharage zimeongezeka kwa asilimia 5 na 2 mtawalia. Bei za mahindi na mchele zimeongezeka…

Soma zaidi

TAARIFA YA WIKI YA MWENENDO WA BEI ZA MAZAO YA CHAKULA 16-20 Novemba, 2020

Ujumbe Mkuu  Wastani wa bei za mazao makuu ya chakula kitaifa zimeongezeka kwa viwango tofauti ambapo bei za mtama na maharage zimeongezeka kwa asilimia 5 na 2 mtawalia. Bei za mahindi na mchele zimeongezeka…

Soma zaidi

MWELEKEO WA MSIMU WA MVUA

Katika taarifa hiyo; TMA ilieleza kuwa katika kipindi cha Novemba, 2020 hadi Aprili, 2021 mvua za wastani hadi juu ya wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya nchi yanayopata mvua za msimu mmoja kwa…

Soma zaidi

TAARIFA YA WIKI YA MWENENDO WA BEI ZA MAZAO YA CHAKULA 26-30 Oktoba 2020

Wastani wa bei za mazao makuu ya chakula kitaifa zimeongezeka na kupungua kwa viwango tofauti ambapo bei za mtama zimeongezeka kwa asilimia 10 na mchele kwa asilimia 1 na bei za maharage, mahindi, na viazi…

Soma zaidi

TAARIFA YA WIKI YA MWENENDO WA BEI ZA MAZAO YA CHAKULA 05 – 09 OKTOBA 2020

Wastani wa bei za mazao makuu ya chakula kitaifa zimeongezeka na kupungua kwa viwango tofauti ambapo bei za mahindi zimeongezeka kwa asilimia 3, maharage na mtama asilimia 1, wakati bei za viazi mviringozimepungua…

Soma zaidi

Maboresho ya Kodi, tozo na ada Sekta ya Kilimo.

UTEKELEZAJI WA MPANGO WA UBORESHAJI WA MAZINGIRA YA BIASHARA (BLUEPRINT) KATIKA SEKTA YA KILIMO Serikali inatambua umuhimu wa kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji katika sekta ya kilimo kwa lengo…

Soma zaidi

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MAADHIMISHO YA SIKU YA CHAKULA DUNIANI

Maadhimisho ya Siku ya Chakula Duniani yatafanyika kitaifa mkoani Njombe kuanzia tarehe 10 Oktoba 2020 na kilele chake itakuwa tarehe 16 Oktoba 2020.

Soma zaidi

WEEKLY MARKET BULLETIN 14-18 SEPTEMBER 2020

On weekly basis, the national average wholesale prices for food crops decreased as follows; Sorghum by 5%, Rice by 3%, Round potatoes by 2% and maize by 1%, while the wholesale price for Dry beans remained…

Soma zaidi