Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko Tanzania (CPB)
Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko Tanzania (CPB), CPB ni Taasisi ya serikali chini ya wizara ya Kilimo iliyopewa dhamana ya kufanya biashara ya nafaka na mazao mchanganyiko, Bodi ya nafaka na mazao mchanganyiko imeanzishwa kwa sheria ya nafaka na mazao changanyiko Namba…