Skip to main content
Fomu
Swahili

FOMU YA KUOMBA KULIMA SHAMBA LA MKONGE

MASHARTI KWA MUOMBAJI:

Kwamba Muombaji atalipia ada ya maombi kiasi cha shilingi 20,000/= ambayo haitarejeshwa (non refundable).

Fedha za maombi zitalipwa kupitia Control namba itakayotolewa na Bodi ya Mkonge Tanzania baada ya muombaji kurejesha fomu hii

Baada ya kulipia wakulima watakaofanikiwa kupata nafasi ya eneo la kilimo cha mkonge watataarifiwa kwa maandishi kuhusu siku ya kuoneshwa shamba.

 Kwamba, Shamba atakalopewa ni kwa ajili ya kilimo cha mkonge tu kwa kanuni bora za kilimo cha mkonge na si vinginevyo.

Kwamba mwombaji atakapofanikiwa kupata shamba atalipia kodi ya pango la ardhi ya shilingi 11,000/= kwa ekari moja kwa mwaka

Pakua Faili: