Skip to main content
Fomu
Taarifa
Swahili

TANGAZO LA KUONGEZA MUDA WA KUTUMA MAOMBI YA MASHAMBA YA KULIMA MKONGE

Bodi ya Mkonge Tanzania (TSB) inawatangazia watanzania wote kuwa imeongeza  muda wa kupokea maombi ya mashamba kwa ajili ya kilimo cha mkonge kwa wakulima wadogo ili kuendeleza kilimo cha mkonge nchini.

Kwa waombaji ambao hawakufanikiwa kuwasilisha maombai yao ndani ya muda uliowekwa kwenye tangazo la awali wanaweza kufika  katika ofisi za Bodi ya Mkonge Tanzania kwa ajili ya kuchukua fomu maalum za maombi ya shamba. Vilevile fomu za maombi zinapatikana katika tovuti ya Wizara ya Kilimo (www.kilimo.go.tz)

Pakua Faili: