MATUKIO KATIKA PICHA - JUKWAA LA KIMATAIFA LA HORTILOGISTICA AFRICA 2026
MATUKIO KATIKA PICHA - JUKWAA LA KIMATAIFA LA HORTILOGISTICA AFRICA 2026
08 Nov, 2026 - 10 Nov, 2026
08:30:00 - 18:30:00
ARUSHA
ps@kilimo.go.tz
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Deogratius Ndejembi akiambatana na Waziri wa Kilimo, Mhe. Daniel Chongolo (Mb) na Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Bw. Gerald Mweli, wametembelea mabanda mbalimbali wakati wa Maonesho na Jukwaa la Kimataifa la HortiLogistica Africa 2026 yanayofanyika jijini Arusha kuanzia tarehe 8 hadi 10 Novemba 2026.
Jukwaa hilo ni muhimu katika kuunganisha wadau wa tasnia ya chai na fursa za biashara, teknolojia na uwekezaji, pamoja na kujenga ushirikiano mpya utakaosaidia kuongeza tija kwa wakulima nchini na katika masoko ya kimataifa.