Kiswahili
|
English
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Kilimo
Mwanzo
Wizara
Muhtasari
Muundo wa Wizara
Dhamira na Dira
Idara
Vitengo
Mkataba wa Huduma kwa Mteja
Taasisi
Bodi za Mazao
Taasisi za Wizara
Vyuo vya Mafunzo
Miradi
Miradi Iliyokamilika
Miradi Inayoendelea
Miradi Ambayo Haijaanza/Iliyopangwa
Programu
Programu Zetu
Wadau
Wadau wa Kilimo
Mifumo ya Wizara
Habari
Habari na Matukio
Taarifa kwa Vyombo vya Habari
Matangazo
Hotuba
Nafasi za Kazi
Zabuni
Habari Picha
Maktaba ya Video
Miongozo
Mawasiliano Yetu
Mawasiliano
Ofisi Zetu na Maoni
Mwanzo
Habari
Habari
06 Jan, 2026
CHONGOLO AKUTANA NA WAWEKEZAJI KUTOKA CHINA KATIKA KUKUZA MAZAO YA KIMKAKATI NA KULETA TEKNOLOJIA ZA KISASA KWA WAKULIMA
Waziri wa Kilimo, Mhe. Daniel Chongolo (Mb), amekutana na wawekezaji kutoka Kampuni ya Shandong Wanda Xing Automobile ya...
24 Dec, 2025
TANI 22 ZA MBOLEA ZASAMBAZWA MIKOA YA MWANZA, GEITA, SHINYANGA NA SIMIYU
Halmashauri 16 za mikoa ya Mwanza, Geita, Shinyanga na Simiyu zimepatiwa mgao wa mbolea wa tani 22 kupitia Mradi wa Kuwe...
24 Dec, 2025
MAABARA KUU YA TARI YATAKIWA KUONESHA UMAHIRI WA TAFITI ZA KILIMO
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo anayesimamia Umwagiliaji na Zana za Kilimo, Mha. Athumani Kilundumya, ameitaka Taa...
19 Dec, 2025
TANZANIA NA MALAWI KUSHIRIKIANA KATIKA BIASHARA YA MAHINDI
Tanzania imeihakikishia Malawi kuwa iko tayari kushirikiana nayo katika biashara ya mahindi kulingana na mahitaji ya naf...
19 Dec, 2025
TOSCI YAPONGEZWA UKARABATI WA MAABARA YA TAIFA YA MBEGU
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Bw. Gerald Mweli ameipongeza Taasisi ya Kuthibiti Ubora wa Mbegu Tanzania (TOSCI) kwa u...
17 Dec, 2025
BBT CHINANGALI YAPONGEZWA
Mwenyekiti wa Baraza la Kumshauri Rais kuhusu masuala ya Chakula na Kilimo na Waziri Mkuu mstaafu wa Jamhuri ya Muungano...
17 Dec, 2025
BENKI YA USHIRIKA YATAKIWA KUIMARISHA TEKNOLOJIA ZA ULINZI KATIKA HUDUMA ZA FEDHA KIGANJANI
Waziri wa Kilimo, Mhe. Daniel Chongolo (Mb), ameihimiza Benki ya Ushirika (COOP Bank) kuimarisha matumizi ya teknolojia...
17 Dec, 2025
PROGRAMU YA BBT YAHIMIZWA KULETA MATOKEO YA HARAKA KWA VIJANA
Programu ya vijana ya Jenga Kesho iliyo Bora (BBT Program) imehimizwa kuleta matokeo ya haraka kwa vijana kama vile kuta...
13 Dec, 2025
MIONGOZO YA UZALISHAJI WA MAZAO YA UFUTA NA MIKUNDE YAZINDULIWA
Waziri wa Kilimo, Mhe. Daniel Chongolo (Mb) amezindua Miongozo ya Uzalishaji Endelevu wa Mazao ya Ufuta na Jamii ya Miku...
13 Dec, 2025
WAZIRI CHONGOLO AIFAGILIA TUME YA TAIFA YA UMWAGILIAJI KWA SKIMU YA NDANDA
Waziri wa Kilimo, Mhe. Daniel Chongolo (Mb) ameipongeza Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) kwa ujenzi wa skimu ya umwag...
13 Dec, 2025
BODI YA USIMAMIZI WA STAKABADHI ZA GHALA YAZINDULIWA DODOMA
Naibu Waziri wa Kilimo. Mhe. David Silinde (Mb) amesema Wizara ya Kilimo inaamini katika Mfumo wa Stakabadhi Ghalani, na...
12 Dec, 2025
SERIKALI YALETA NEEMA KWA WAKULIMA WA KOROSHO
Waziri wa Kilimo, Mhe. Daniel Chongolo (Mb) amefanya ziara ya kikazi mkoani Mtwara tarehe 11 Desemba 2025 na kutoa salam...
‹
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
...
18
19
›