Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Kilimo

CHONGOLO AITAKA MIRADI YA UMWAGILIAJI IENDANE NA TIJA

Imewekwa: 02 Nov, 2026
CHONGOLO AITAKA MIRADI YA UMWAGILIAJI IENDANE NA TIJA

Waziri wa Kilimo, Mhe. Daniel Chongolo (Mb) ameitaka Tume ya Taifa ya Umwagiliaji kuhakikisha uwekezaji unaofanywa na Serikali katika miradi ya Umwagiliaji inaendana na tija na matokeo yanayotarajiwa kwa wananchi, ikiwemo ongezeko la eneo la kilimo, uzalishaji na kipato cha wakulima.  Amesema hayo wakati wa ziara ya kikazi mkoani Shinyanga kukagua bwawa la nyida lenye uwekezaji wa Serikali wa shilingi bilioni 43.  (Oktoba 2026)