Rais azinadi fursa za kilimo Tanzania kwenye Mkutano wa Masuala ya Usalama wa Chakula na Mabadiliko ya Tabianchi - Norway
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiongea wakati wa ushiriki wake katika Mkutano wa Mashirikiano wa Masuala ya Usalama wa Chakula na Mabadiliko ya Tabianchi uliofanyika tarehe 14 Februari 2024,…