Skip to main content
Taarifa
Swahili

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

UFAFANUZI KUHUSU MFUMO WA MAUZO YA KOROSHO GHAFI KATIKA MSIMU WA MWAKA 2019/2020

Katika musimu wa mwaka 2018/2019 serikali iliamua kununua korosho zote toka kwa wakulima kutokana na kuyumba au kushuka kwa bei ya korosho katika soko la minada. Hatua hii ilikuwa ni ya dharura iliyochukuliwa ili kulinda maslahi ya mkulima, kuanza mkakati wa kubangua korosho zote hapa nchini, kufufua viwanda vya kubangua korosho vilivyopo na kuongeza ajira kwa watanzani

Kwa taarifa zaidi Pakua hapa

Pakua Faili: