WAKULIMA WATAKIWA KUWA NA ELIMU YA MBEGU BORA
Elimu ya matumizi na utambuzi wa mbegu zilizothibitishwa ubora na Mamlaka ya Kuthibiti Ubora wa Mbegu Tanzania (TOSCI ) ni maarifa muhimu kwa mkulima ili aweze kupata matokeo mazuri shambani na kuepuka hasara zinazosababishwa…