SEKTA YA KILIMO KUZIDI KUIMARIKA
Dk. Hussein M. Omar, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo ameshiriki katika kikao kazi kati ya Tanzania na Ujumbe wa wafanyabiashara kutoka Bavaria, nchini Ujerumani. Ujumbe wa wafanyabiashara hao uliongozwa na Mhe. Tobias Gotthardt…