WAZIRI BASHE ASHIRIKI KUKABIDHI MRADI WA LUICHE
Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) ameshiriki katika kukabidhi mradi wa umwagiliaji wa Bonde la Luiche, mkoani Kigoma lenye ukubwa wa hekta 3000 kwa mkandarasi M/S CRJE (East Africa) LIMITED ya Dar es Salaam kwa ajili…