Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe leo tarehe 14 Mei, 2022 amezindua Bodi ya Wakurugenzi ya Tume ya Taifa ya Umwagiliaji, Jijini Dodoma na kuitaka kuainisha maeneo mbalimbali ambayo kwa ujumla wake ni hekari milioni 29 yanayofaa…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan hivi karibuni aligawa vitendea kazi kwa Maafisa Ugani Kilimo zaidi ya 7,000 katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma na kuhudhuliwa…
Waziri wa Kilimo Mhe.Hussein Bashe amesema ataishawishi Wizara ya Fedha na Benki Kuu kuunda sera za kifedha ambazo zitakuwa rafiki kwa Wakulima na Sekta ya Kilimo kwa ujumla.Waziri Bashe amesema hayo kwenye mkutano na Wanahabari kuelezea…
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Bwana Andrew Massawe pamoja na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Maendelo ya Tasnia ya Mazao ya mboga, matunda na Viuongo Tanzania Horticulture Association (TAHA) Dkt. Jacquiline Mkindi, leo tarahe 22 April,…
Wizara ya Kilimo imesaini Hati ya Makubaliano ya miaka mitano na Kampuni ya Smart Import and Export ya Misri kwa ajili ya ununuzi wa mahindi ya njano na Rasimu ya makubaliano ya kuiuzia India mazao ya jamii ya mikunde hususan mbaazi…