RAIS SAMIA AWATAKA WAKULIMA WA KOROSHO KUSAFIRISHA ZAO HILO KWA VIBALI.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amewataka wakulima pamoja na wafanyabiashara wanaosafirisha zao la korosho toka mkoani Mtwara kusafirisha kwa vibali maalum hali itakayosaidia upatikanaji wa taarifa…