Skip to main content
Habari na Matukio

Katibu Mkuu Kilimo Dkt. Florence Turuka, amezindua Mradi

Katibu Mkuu Kilimo DK. Florence Turuka, amezindua Mradi wa kuongeza tija na uzalishaji wa zao la mpunga. Uzinduzi huo umefanyika kijiji cha kigugu wilaya ya Mvomero. Aidha, alitembelea shamba la mfano la mpunga la wakulima ambao walipatiwa mafunzo katika chuo cha Mkindo. Matumizi ya Teknolojia ya shadidi ni muhimu katika kuongeza tija na uzalishaji wa zao la mpunga.