Skip to main content
Habari na Matukio

MHE. RAIS NA MAWAZIRI KWENYE AGRF 2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan(wa pili kulia) ,Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe (wa pili kulia) na Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega (wa kwanza kulia) wakifuatlia Mkutano wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Afrika AGRF 2023.