Skip to main content
Habari na Matukio

Ruzuku ya Mbolea

“Wizara katika mwaka 2023/2024, kupitia TFRA itaendelea kuratibu upatikanaji wa mbolea nchini kwa kutoa ruzuku ya mbolea kwa wakulima hadi mwaka 2025/2026 ili kuongeza matumizi ya mbolea kutoka kilo 19 kwa hekta hadi angalau kilo 50 kwa hekta, kupunguza gharama za uzalishaji na kuongeza upatikanaji.” Mhe. Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo.