Uwekezaji kwenye kujenga na kukarabati miundombinu ya umwagiliaji
“Wizara kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji imepanga kuongeza eneo la umwagiliaji lenye jumla ya hekta 256,185.46 kwa kukamilisha ujenzi wa skimu, kukarabati skimu zilizochakaa, kujenga skimu mpya na mabwawa 100 kwa ajili ya umwagiliaji”. Mhe. Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo