Waziri Bashe anena na Mkurugenzi Mtendaji wa WFP katika COP28- Dubai
Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP), Bi. Cindy McCain kuhusu kukuza ushirikiano katika Sekta ya Kilimo, pembezoni mwa Mkutano wa Umoja wa Kimataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28), tarehe 1 Desemba 2023, Dubai