Waziri wa Kilimo Hussein Bashe kwenye COP28 UAE
Viongozi wa Serikali akiwemo Mhe. Hussein Bashe (Mb) wakishiriki katika Mkutano wa 28 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi ujulikanao kama COP28 UAE. Mkutano huo unafanyika katika nini la Expo Dubai - UAE.