Kiswahili
|
English
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Kilimo
Mwanzo
Wizara
Muhtasari
Muundo wa Wizara
Dhamira na Dira
Idara
Vitengo
Mkataba wa Huduma kwa Mteja
Taasisi
Bodi za Mazao
Taasisi za Wizara
Vyuo vya Mafunzo
Miradi
Miradi Iliyokamilika
Miradi Inayoendelea
Miradi Ambayo Haijaanza/Iliyopangwa
Programu
Programu Zetu
Wadau
Wadau wa Kilimo
Mifumo ya Wizara
Habari
Habari na Matukio
Taarifa kwa Vyombo vya Habari
Matangazo
Hotuba
Nafasi za Kazi
Zabuni
Habari Picha
Maktaba ya Video
Miongozo
Mawasiliano Yetu
Mawasiliano
Ofisi Zetu na Maoni
Mwanzo
Habari
Habari
09 Jun, 2026
TARI YATAKIWA KUONGEZA KASI UJENZI WA OFİSİ NA KUZINGATIA UBORA
Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) imetakiwa kuongeza kasi ujenzi wa Ofisi za Utawala zinazojengwa katika...
09 Jun, 2026
MWELI AKUTANA NA SPIKA WA BUNGE WA BELARUS
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Bw. Gerald Mweli amekutana kwa mazungumzo na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Belarus, Mhe....
09 Jun, 2026
COASCO WAASWA KUKAGUA VYAMA VYA USHIRIKA VILETE TIJA NCHINI
Shirika la Ukaguzi na Usimamizi wa Vyama vya Ushirika (COASCO) limetakiwa kuhakikisha Vyama vyote vya Ushirika vinakagul...
09 Jun, 2026
SILINDE AZITAKA COPRA NA TMX KUSIMAMIA UUZAJI WA MAZAO YA KIMKAKATI KUPITIA USHIRIKA
Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA) na Soko la Bidhaa Tanzania (TMX) zimetakiwa kuhakikisha maza...
08 Jun, 2026
WAKULIMA NA WAFANYABIASHARA KUTOKA BELARUS WAKARIBISHWA KUSHIRIKI MAONESHO YA NANE NANE 2026
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Bw. Gerald Mweli amefanya mazungumzo na Waziri wa Kilimo wa Jamhuri ya Belarus, Mhe. Yu...
08 Jun, 2026
ZAIDI YA MIKOA 6 YAFIKIWA UPIMAJI WA AFYA YA UDONGO
Zaidi ya Mikoa sita imefikiwa katika zoezi la upimaji wa afya ya udongo kitaifa ambayo ni pamoja na Mikoa ya Rukwa...
08 Jun, 2026
CHONGOLO:: UBORA WA KAHAWA, NGUZO YA USHINDANI KATIKA MASOKO
Wadau wa tasnia ya Kahawa nchini wamehimizwa kuhakikisha wanazalisha Kahawa yenye ubora ili kuongeza upatikanaji endelev...
05 Jun, 2026
CHONGOLO: WAKULIMA ONDOENI WASIWASI MBOLEA IPO
Waziri wa Kilimo, Mhe. Daniel Chongolo (Mb), amewahakikishia wakulima nchini kuwa mbolea ipo ya kutosha na inapatikana k...
05 Jun, 2026
PROF. MSOFFE AHAMASISHA WADAU WA MAENDELEO ZAO LA MPUNGA KUSHIKA MASOKO YA NJE
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo anayesimamia Maendeleo ya Mazao na Usalama wa Chakula, Prof. Peter L. M. Msoffe am...
04 Jun, 2026
TANZANIA YAFUNGUA FURSA ZA UWEKEZAJI KWA BELARUS
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Bw. Gerald Mweli amefanya mazungumzo na Waziri wa Viwanda wa Jamhuri ya Belarus, Mhe. An...
04 Jun, 2026
JAMHURI YA BELARUS YAONESHA UTAYARI KUWEKEZA SEKTA YA KILIMO
Jamhuri ya Belarus yaonesha utayari wa kuwekeza katika Sekta ya Kilimo nchini kufuatia mazungumzo ya pamoja kati ya Kati...
03 Jun, 2026
KATIBU MKUU MWELI AALIKA KAMPUNI ZA BELARUS KUWEKEZA TANZANIA
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Bw. Gerald Mweli ametembelea Viwanja vya Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo ya Jamhuri ya...
‹
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
...
28
29
›